Starehe kwenye chumba kizuri cha mita za mraba 105 cha Ambassador Suite chenye nafasi ya kutosha kufanya kazi, kupumzika au kufurahia mandhari nzuri ya jiji au bandari. Kikiwa kimeunganika na Junior Suite kina mwanga mwingi wa mchana unopitia madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi kwenye dari, vitanda viwili pamoja na sebule kubwa ya kupumzikia, jiko lenye kila kitu, chumba cha pembeni cha kulia chakula na sehemu ya kufanyia kazi, kinafaa kwa familia. |