Johari RotanaDAR ES SALAAMRRRRR
MUHTASARIMALAZICHAKULAMIKUTANO NA MATUKIOHARUSIBURUDANIVIFURUSHI NA OFATATHMINIPICHA
VYUMBA NA SUITECLUB ROTANAVYUMBA VYA KUPANGA

Sasa Imefunguliwa

Haijalishi unasafiri umbali gani haupaswi kulazimika kuacha eneo lako la amani na faraja. Ndio maana Johari Rotana inakupa huduma ya vyumba vya kupanga vya kifahari ambavyo vinachanganya faraja ya kukaa nyumbani na urahisi wa kuishi kwenye hoteli. Vyumba hivi ni vizuri haswa kwaajili ya wakaaji wa muda mrefu na katika safari za kifamilia. Kila chumba kimekamilika na vifaa vyote vya jikoni na huduma ya msaidizi atakaehakikisha kila mahitaji yako yanapatikana.

Nyenzo:

  • Uunganisho wa mfumo wa Fibre Optic
  • Mashine ya kufua nguo
  • Matumizi ya bure ya eneo la mazoezi, ulingo wa ndondi na bwawa la kuogelea
  • Bei ya chini ya marekebisho na huduma za ndani (ikiwemo maji na umeme)
  • Huduma ya kukufikishia mahitaji ya ndani
  • Urahisi wa kubadilisha mpangilio wa chumba (vyumba venye fanicha na visivyo)
SEA VIEW/ CITY VIEW STUDIO ROOM

TAZAMA PICHA
WEKA NAFASI SASA

Jisikie uko nyumbani katika chumba cha kisasa chenye utulivu katika Jiji lenye shughuli nyingi la Dar es Salaam cha mita za mraba 43 aina ya Studio Room, ambacho ni kikubwa kimtindo na kinafasi. Kinafaa kwa wageni wa kibiashara au starehe, mahali hapa pa faragha panapoburudisha panajumuisha kitanda aina ya king, jiko, samani na visitawishi vya kisasa na madirisha yanayoanzia sakafuni hadi darini yanayoonyesha mandhari nzuri ya jiji na bandari.

Vistawishi: Muunganisho wa intaneti, TV yenye chaneli nyingi, simu ya IP ikiwa na ujumbe wa sauti, jiko, baa ndogo, nyenzo za kutengeneza chai/kahawa, sefu ya chumbani, mashine za kufulia, pasi na meza ya kupigia pasi, matumizi ya chumba cha mazoezi ya mwili hotelini, ulingo wa mchezo wa ngumi na bwawa la kuogelea.

SEA VIEW/ CITY VIEW ONE BEDROOM APARTMENT

TAZAMA PICHA
WEKA NAFASI SASA

Ingia katika sehemu yako ya faragha Jijini ukiwa Johari Rotana. Chumba chetu Kimoja cha Kupanga kikiwa katika mtindo wa kisasa, kinafaa kwa wageni wanaokaa kwa muda mrefu. Chenye ukubwa wa mita za mraba 87, kinajumuisha kitanda aina ya king, samani za kisasa, jiko, meza ya kufanyia kazi na nafasi kubwa zaidi kwa ajili ya kazi au kupumzika baada ya kumaliza siku yenye shughuli nyingi. Furahia starehe ya mandhari nzuri ya anga la jiji na bandari kupitia madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi darini ambayo yanaingiza nuru ndani ya chumba chako na mwanga wa kifahari wa jua la Dar es Salaam wakati wa mchana na taa za jiji wakati wa usiku.

Vistawishi: Muunganisho wa intaneti, TV yenye chaneli nyingi, simu ya IP ikiwa na ujumbe wa sauti, baa ndogo, nyenzo za kutengeneza chai/kahawa, jiko lenye kila kitu, mashine ya kufulia, sefu ya chumbani, pasi na meza ya kupigia pasi, matumizi ya eneo la mazoezi ya mwili hotelini, ulingo wa mchezo wa ngumi na bwawa la kuogelea.

SEA VIEW / CITY VIEW TWO BEDROOM APARTMENT

TAZAMA PICHA
WEKA NAFASI SASA

KUHUSU ROTANATOVUTI ZA ROTANA
HISTORIA
MAADILI YA ROTANA
DIRA / AHADI YA CHAPA
TUZO ZETU
BODI YA WAKURUGENZI
WATENDAJI WA SHIRIKA
MAENDELEO YA HOTELI
NAFASI ZA KAZI ZINAZOKUJA
ALAMA YA CHAPA
WASHIRIKA WA TASNIA
ROTANA DUNIA/ WAJIBU WA SHIRIKA KWA JAMII (CSR)
CHUMBA CHA HABARI
MATANGAZO NA VYOMBO VYA HABARI
MAKTABA YA PICHA NA VIDEO
OFISI ZA MAUZO NA GDS
WAGENI WA MASHIRIKA
www.rotana.com
www.rotanatimes.com
www.rotanaearth.com
www.rotanacareers.com
© Hakimiliki 2024 Shirika la Usimamizi wa Hoteli Rota PJSC.
Tafadhali angalia
Masharti yetu ya Matumizi
Sera ya Faraghaolicy
Cookie Settings
Tovuti hii inatumia vidakuzi ili tuweze kuboresha uzoefu wako wa mtumiaji na kupima utendaji wa tovuti yetu.
Ikiwa utaendelea kutumia tovuti hii, utakuwa umekubali matumizi yetu ya vidakuzi.
Soma Tamko la Kidakuzi
KUBALI