Ingia au Jiunge
 Kiswahili Uhifadhi Wangu
Chagua Tarehe
Weka Sasa
JOHARI ROTANA
Malazi
Vyumba na SuiteClub RotanaVyumba vya Kupanga
Club Rotana
Spacious Sea View/City View Room With Lounge Access - King Bed
Kinafaa kwa wanaokaa kwa ajili ya biashara au starehe, chumba chetu cha mita za mraba 50 aina ya Club Rotana Room chenye madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi kwenye dari ni sehemu ya kupumzika na kufurahia mandhari nzuri ya bandari au Jiji. Pamoja na mapambo ya kupendeza, meza ya kufanyia kazi, visitawishi vya kisasa na vitanda vyenye ukubwa wa King, kinafaa wasafiri wa safari za haraka.
2
50m2
1 x Kitanda cha Kingi
Weka Sasa
Jifunze Zaidi
Spacious Sea View/City View Room with Lounge Access- Twin Bed
Kinafaa kwa wanaokaa kwa ajili ya biashara au starehe, chumba chetu cha mita za mraba 50 aina ya Club Rotana Room chenye madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi kwenye dari ni sehemu ya kupumzika na kufurahia mandhari nzuri ya bandari au Jiji. Pamoja na mapambo ya kupendeza, meza ya kufanyia kazi, visitawishi vya kisasa na vitanda pacha, kinafaa wasafiri wa safari za haraka.
3
50m2
2 Vitanda viwili
Weka Sasa
Jifunze Zaidi
Spacious One Bedroom Suite with Lounge Access
Jitendee haki kukaa kwenye chumba kikubwa cha mita za mraba 100 cha Club Rotana Suite kilicho na sehemu ya kulia chakula na sebule ya kupumzikia inayotazama bandari ya Dar es Salaam iliyochangamka au anga lake kupitia madirisha yanayoanzia sakafuni hadi kwenye dari. Kukiwa na jiko lenye vifaa vyote, meza ya kufanyia kazi na samani na mapambo ya kupendeza, unaweza kufanya kazi au kupumzika kwa mtindo ukiwa Johari Rotana.
2
100m2
1 x Kitanda cha Kingi
Weka Sasa
Jifunze Zaidi
ONE BEDROOM SUITE WITH LOUNGE ACCESS - City View
Tazama mandhari ya kuvutia ya jiji lenye shughuli nyingi kutoka kwenye Suite yetu ya mita za mraba 75. Ikiwa na mwanga mwingi wa asili, suite hii ni chaguo bora kwa wasafiri wa kibiashara na wa mapumziko wanaotafuta ubora. Suite hii ina eneo tofauti la kulia chakula na sebule, mabafu mawili, moja likiwa ndani ya chumba cha kulala lenye bafu na mvua ya kuoga ya kisasa—na choo cha ziada kilicho kwenye sebule kwa urahisi. Furahia huduma ya kipekee ya Club Rotana Lounge iliyoko ghorofa ya 24. ٠ Furahia mandhari ya kuvutia ya bandari na jiji la Dar es Salaam. ٠ Pumzika kwenye bafu lako au chini ya mvua ya kuoga ya kisasa. ٠ Tazama chaneli uzipendazo kupitia televisheni ya satelaiti. ٠ Pumzika kwenye samani za kisasa na zenye starehe.
3
75m2
1 x Kitanda cha Kingi
Weka Sasa
Jifunze Zaidi
Johari Rotana
Sokoine Drive
Tanzania
PANGA ZIARA YAKO
Maelekezo
T+255 659 070 800
johari.hotel@rotana.com
GUNDUA PROGRAMU YETU
© Hakimiliki 2025 Rotana Hotel Management Corporation PJSC.
Gundua
Kuhusu Sisi
Ajira
Uhifadhi Wangu
E-Connect
Usaidizi
Wasiliana
Maktaba ya Vyombo vya Habari
Wadau wa Usafiri
Sheria na Masharti
Sera ya Faragha
Vidakuzi